Idara ya polisi yapokea Helikopta mpya

Tume ya uchaguzi nchini-IEBC imezindua kituo cha kitaifa cha kujumlisha matokeo ya kura ya urais katika ukumbi wa Bomas, hapa jijini Nairobi. Majaribio ya mfumo wa kujumlisha matokeo yatafanyika Juma lijalo, ili kubaini iwapo kuna dosari zozote. Haya yanajiri huku wizara ya usalama wa kitaifa na kikosi cha polisi wakisisitiza marufuku ya kutotoka nje usiku katika kaunti za Lamu, Tana River na maeneo ya Garissa itaendelea, sawa na operesheni ya kumenyana na majangili na wezi wa mifugo kaunti ya Laikipia.

Tags:

helicopter Fred Matiang'i Nakuru. Polisi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories