Idara ya usalama yapiga marufuku harusi usiku, Mombasa

Vikosi vya usalama katika kaunti ya Mombasa vimepiga marufuku sherehe za harusi zinazoendelea kutoka saa nne usiku na kusema yeyote atakayeanda sherehe za harusi kutoka saa nne anapaswa kuarifu maafisa wa usalama. Uamuzi huo unafuatia kisa cha hivi majuzi ambapo wanawake kadhaa walivamiwa na genge la majambazi wakitoka katika sherehe ya harusi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories