IEBC: Hatuongezi muda wa kuwasajili wapigakura


Umesalia na takriban siku tatu tu! iwapo bado hujasajiliwa kuwa mpigakura, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati amesema kwamba shughuli za usajili wa wapigakura itafungwa rasmi tarehe 14 Februari. Lakini kama anavyotueleza mwanahabari wetu Hassan Farah, huenda muda ukaongezwa kwani katiba imeelezea kuwa zoezi la kusajiliwa kwa wapiga kura linafaa kuendelea hadi siku tisini kabla ya siku ya uchaguzi mkuu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Citizen Team
More by this author