IEBC imewataka wanasiasa kutoa mabango ya uchaguzi


Wiki mbili baada ya uchaguzi mkuu baadhi ya kuta sehemu nyingi humu nchini zina mabango ya baadhi ya wagombeaji wa viti mbali mbali ambazo bado hazijabanduliwa. Hii ni licha ya serikali kuagiza wagombeaji hao kuondoa mabango yao ili kuwa nadhifu.. Saida Swaleh na taarifa hiyo

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Saida Swaleh
More by this author