IEBC kuandaa uchaguzi kabla ya Oktoba 17


Huenda uchaguzi wa urais ukafanyika tarehe kumi au tarehe kumi na saba mwezi ujao. Haya ni kufuatia mazungumzo kati ya IEBC na wadau ambapo inakisiwa kuwa kura za urais kufanyika katika kipindi hicho kutaruhusu mitahani ya kitaifa kuendelea kama ilivyokuwa imepangwa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author