IEBC kuchapisha sajili safi ya wapigakura Juni 20

Tume huru ya uchaguzi na mipaka imesema kuwa sajili rasmi ya wapiga kura itatolewa katika siku kumi zijazo baada ya kuwaondoa wapiga kura waliofariki pamoja na wale ambao stakabadhi zao zina tashwishi. Haya yanajiri siku moja tu baada ya ripoti ya ukaguzi wa sajili ya wapiga kura kubaini kuwa huenda zaidi ya wapiga kura milioni moja wamefariki na majina yao yanapaswa kuondolewa kwenye orodha hiyo iliyo na wapiga kura milioni 19.

Tags:

IEBC KPMG sajili ya wapigakura

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories