IEBC kuruhusu ukaguzi wa sajili kuanza

Vyama vya kisiasa viko mbioni kutimiza makataa ya kuwasilishwa kwa orodha ya wagombea katika viti vya ugavana, seneta, ubunge, waakilishi wa wanawake na wa wodi kabla ya saa sita usiku ambapo muda wa kufanya hivyo utakamilika. Hata hivyo huenda wengi wakakosa kuwa kwenye orodha hizo kwasababu ya kesi nyingi zilizowasilishwa mahakamani na ambazo hazijatatuliwa. Haya ni huku nderitu mureithi akiambulia patupu baada ya mahakama kuagiza kuwa joshua irungu akabidhiwe cheti cha uteuzi cha jubilee ili kuwania ugavana laikipia.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories