IEBC yabadilisha tarehe ya uchaguzi kutoka Okt 17


Uchaguzi wa urais utafanyika tarehe ishirini na sita mwezi ujao. Tarehe hiyo imeafikiwa na tume ya uchaguzi nchini baada ya kuchunguza hukumu ya kina iliyotolewa na mahakama ya upeo hapo jana. IEBC inasema kuwa imelazimika kuahirisha uchaguzi ili kuweza kuweka sawa kimikakati yote iliyoratibiwa na mahakama ya upeo ili uchaguzi uwe huru na wa haki.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author