IEBC yachapisha ushindi wa Rais Kenyatta kwenye gazeti la serikali

Tume ya uchaguzi imechapisha uchaguzi wa Rais Uhuru Kenyatta na William Ruto kama rais na naibu rais kwenye gazeti rasmi la serikali na kuashiria kipindi cha wiki moja ambapo wanaopinga uchaguzi huo wanaweza kwenda mahakamani. Haya ni huku tume hiyo ikitangaza kufunguliwa kwa sava zinazoonyesha shughuli zilivyokua kuanzia wakati wa uchaguzi hadi pale matokeo yalipotangazwa.

Tags:

Uhuru kenyatta IEBC Wafula Chebukati

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories