IEBC yafutilia mbali cheti cha Wavinya Ndeti, kuwania ugavana

Chama cha Wiper kimepata pigo kubwa baada ya kamati ya IEBC kutupilia mbali cheti cha mwaniaji wa kiti cha ugavana kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti. Kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wa IEBC  Wafula Chebukati imesema kuwa Wavinya  Ndeti yuko katika vyama viwili vya Wiper na chama cha uzalendo kinyume na sheria. Uamuzi huo wa Chebukati unamaanisha kuwa chama cha Wiper hakitakuwa na mgombea ugavana Machakos kwani wakati wa kuwasilisha wagombea umefikia kikomo.

Tags:

WIPER IEBC Wavinya Ndeti machakos

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories