IEBC yakutana na wagombea urais wa NASA na Jubilee


Tume ya uchaguzi iko mbioni kutafuta muafaka wa kisiasa ili kuweza kukamilisha matarayisho ya uchaguzi kwa wakati unaofaa. Tume hiyo imekutana na naibu rais William Ruto na kinara wa NASA Raila Odinga hii leo kutatua masuala ibuka na kukwamua mzozo uliopo. Katika mkutano huo, NASA imesisitiza kutekelezwa kwa masharti iliyotoa kwa IEBC huku Jubilee ikiridhishwa na matayarisho japo haijaelezea nia ya kutoa mabadiliko ya kisheria yanayotizamiwa bungeni.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author