IEBC yapeleka ushahidi mahakamani


Mawakili wa Rais Uhuru Kenyatta na tume ya uchaguzi nchini-IEBC jioni leo wanatarajiwa kuwasilisha stakabadhi zao katika mahakama ya juu zaidi nchini-yaani supreme court, kujibu kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais, iliyowasilishwa na kinara wa nasa Raila Odinga.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author