IEBC yapuuzilia mbali vitisho vya Nasa

Tume ya uchaguzi nchini iebc imesema haitaondoa rufaa mahakamani inayopinga uamuzi wa mahakama kuu kuwa matokeo ya uchaguzi katika maeneo bunge yatakuwa ya mwisho. Muungano wa nasa hapo jana walitishia kutoshiriki katika uchaguzi mkuu iwapo iebc itaendelea na kesi hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories