IEBC Yasema uchaguzi utakuwa huru na haki


Tume ya uchaguzi nchini imeweka mikakati ambayo itahakikisha kuwa umoja wa mataifa umehusishwa kwenye baadhi ya shughuli za matayarisho ya uchaguzi ili kurejesha imani kuwa uchaguzi wa mwezi ujao utakuwa huru na wa haki. Japo IEBC inasisitiza kuwa kampuni ya Al Ghurair itachapisha karatasi za kupigia kura, UNDP inahusishwa katika shughuli hiyo na kadhalika wataalam wa kimitambo wa umoja wa mataifa watahushwa kwenye ukaguzi wa mitambo ya kiteknolojia, pamoja na waakilishi wa NASA na Jubilee.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | WESTLANDS UNDERWORLD | Crooks, gov’t officials named in plot to grab man’s property

Avatar
Story By Faiza Wanjiru
More by this author