Imefichuliwa kuwa fedha zilizotoweka ni Sh. 1.8 B

Zaidi ya Shilingi bilioni 1.8 ndio idadi kamili ya pesa zilizopotea katika sakata ya NYS. Mkurugenzi mkuu wa tume hiyo Halakhe Waqo hii leo ameiambia kamati ya bunge kuhusu uhasibu, kuwa idadi ya shilingi milioni 791 iliyoripotiwa hapo awali sii kamili na kuwa wakenya wamepoteza shilingi bilioni moja zaidi katika kashfa hiyo. Aidha, waqo amesema kuwa tume yake inachunguza visa kumi na tatu vinavyohusiana na jinsi pesa hizo zilipotea.

Tags:

NYS Halakhe Waqo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories