Jaji Ibrahim augua


Siku ya pili ya kusikizwa kwa kesi ya upinzani inayopinga ushindi wa Rais Kenyatta kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 8, jopo la majaji wa mahakama ya kilele linaonekana kuwa na upungufu. Kati ya Majaji 7 wa mahakama hiyo, ni majaji sita pekee walioonekana leo kinyume na ilivyokuwa hapo jana. Ni jaji yupi hakuweko na hilo lina taathira gani ya kisheria katika mchakato mzima wa kusikizwa kwa kesi hii?

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author