Jaji Maraga ahudhuria ibada katika kanisa la SDA Milimani


Jaji mkuu David Maraga sasa yupo miongoni mwa watu wanaotajika kuanzia jana kutokana na uamuzi aliotoa pamoja na majaji wenzake wa mahakama ya juu. Na hii leo runinga ya Citizen ilikutana naye akifanya ibada katika kanisa la Seventh Day Adventist kama ilivyo desturi yake .

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Lulu Hassan
More by this author