logo

Jaji mkuu David Maraga ahimiza ushirikiano serikalini

By For Citizen Digital

Jaji Mkuu David Maraga ameyataka matawi matatu ya serikali kushirikiana katika kuwahudumia wakenya na kutojihusisha na mikwaruzano akisema Bunge, Idara ya Mahakama na serikali kuu zinafaa kuheshimu uhuru wa kila moja. Maraga amesema haya alipozindua ripoti ya idara ya mahakama ya mwaka wa 2016/2017, hafla iliyohudhuriwa na Rais Uhuru Kenyatta ambaye amemtaka Jaji Mkuu kushauriana na matawi mengine katika kutatua masuala yanayoibuka hasa yanayohusu umma.

Also Read:

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Freighters threaten to abandon SGR cargo service


By Sam Gituku More by this author


Most RecentSponsored Content