Jaji Mkuu mteule, David Maraga afika bungeni

Bunge la taifa limeongeza muda uliowekwa wa kukamilisha shughuli ya kumhoji  jaji mkuu anayependekezwa. Kamati ya bunge kuhusu sheria na masuala ya katiba imeongezewa muda wa kuwasilisha irpoti yake baada ya kumhoji jaji David Kenani Maraga hii leo. Muda huo uliongezwa ili kutoa nafasi kwa wabunge wengi kuweza kuhusika na shughuli ya kumuidhinisha au la.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories