Jamaa ajikata nyeti huko Naivasha


Wakazi kutoka  kituo cha kibiashara cha Karai, kaunti ya Naivasha leo waliamkia tukio lisilo la kawaida baada ya mwanaume mmoja wa umri wa makamo kujikata sehemu zake za siri akitumia kisu  kwa madai kuwa haimfai tena.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Citizen Team
More by this author