Jambazi la M-pesa lahangaisha wakazi

Wanabiashara katika eneo la Pipeline hapa jijini Nairobi wameitaka serikali kuwasaidia kumtia mbaroni jambazi sugu anayevamia biashara za M-pesa akitumia bastola. Uchunguzi uliofanywa na Runinga ya Citizen umebaini kuwa watu 6 wamepoteza maisha hadi sasa kutokana na mashambulizi ya jambazi huyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories