‘James Bond’ wa Meru atiwa mbaroni kwa kuhatarisha maisha

Polisi mjini Meru wamemkamata jamaa aliyegonga vichwa vya habari hapo jana kwa kudandia  helikopta iliyokuwa imembeba kinara wa Cord Raila Odinga. Jamaa huyo kwa jina Julius Muitari aliwaelezea wanahabari kuwa kitendo chake kilichochewa na mapenzi aliyonayo kwa kiongozi huyo.

Tags:

raila odinga James Bond wa Meru Julius Muitari

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories