Jamii ya kimataifa yapongeza mikakati ya IEBC

Shinikizo zinazidi kutolewa kwa Rais Uhuru Kenyatta na Kinara wa Nasa Raila Odinga kuketi kwenye meza ya mazungumzo na kukwamua mzozo wa kisiasa uliopo ili uchaguzi ufanyike kwa amani. Wachunguzi wa uchaguzi wa muungano wa bara uropa na muungano wa waajiri wamewataka wawili hao kulegeza misimamo yao sugu ambao wanasema unaeneza chuki ya kikabila na kuharibu uchumi. E.U wameisifia IEBC kwa kutilia maanani mapendekezo yaliyotolewa ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories