Jamii Ya Wakikuyu Yakumbuka Mila Zake

Jamii nyingi katika taifa la Kenya hutunza utamaduni wao kwa njia tofauti tofauti, jamii ya Wakikuyu wakiwa katika mstari wa mbele wametenga eneo maalum katika eneo la Wanjerere eneo bunge la Kangema Kaunti ya Murang’a karibu na msitu wa Aberdares ambapo wazee wa jamii hiyo watakuwa wakifanya mikutano yao pamoja na kutoa kafara kwa ajili ya maovu yanayotokea

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories