Jamii ya Wapokot hutumia ‘kriket’ kulaani wahalifu
Published on: January 07, 2017 08:11 (EAT)
Jamii ya Wapokot ni mojawepo ya jamii chache humu nchini inayoenzi mila na tamadumi za jadi . Mojawapo ya tamaduni hizo ni ile inayoitwa kriket kama anavyotufahamisha mwanahabari wetu Collins Shitiabayi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment