Jamii ya Waturkana ina mchakato mpana wa utoaji mahari


Licha ya kuwa na usasa kutokana na elimu, Jamii ya waturkana wanahifadhi na kudumisha mila, tamaduni na destri zao ambazo
walizoachiwa na babu zao.

Kufikia sasa mwanamume aliyeoa lakini hakufanya harusi ya kitamaduni inayoitwa Sapani na kulipa mahari hawezi kuwa na usemi
ama ushawishi wowote katika kikao cha wazee .

Isitoshe iwapo watazaa watoto kama bado hajatoa mahari basi watoto hao hawatakuwa wake bali watakuwa wanamilikiwa na familia ya kina mke hadi pale harusi itakapofanywa.

Mwanahabari wetu wa Turkana Cheboit Emmanuel amefuatilia taratibu ya
harusi ya kiturkana na hii hapa taarifa yake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Emmanuel Cheboit
More by this author