Jammeh asalimu amri

Kiongozi wa Gambia Yahya Jammeh hatimaye ametangaza kuwa ataondoka mamlakani baada ya mataifa ya magharibi ya Afrika yakiwemo Senegal na Nigeria kumshinikiza kung’atuka uongozini au aondolewe kwa lazima.

Tags:

Gambia Yahya Jammeh Adama Barrow

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories