Je, ni kweli wakenya zaidi ya milioni wamepata umeme?


Shirika la kusambaza umeme nchini Kenya Power huenda limewahadaa Wakenya kuwa limesambaza umeme kwa zaidi ya watu milioni moja katika kile kinachoonekana kama njia ya kuwadhihirishia Wakenya kwamba serikali inatimiza ahadi yake ya kusambaza umeme kwa Wakenya milioni moja kila mwaka. Na kama anavyotupasha mwanahabari wetu Salim Swaleh ni kwamba sasa maafisa wakuu wa KPLC wanasutana wenyewe kwa kupitia barua pepe zilizovuja.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: FEATURE: KAYA Forest conservation through culture

Story By Salim Swaleh
More by this author