Jinamizi la usafiri Turkana


Turkana ni miongoni mwa kaunti kubwa nchini. Kuna sehemu za mashinani ambazo hazina njia nzuri na hivyo shughuli za uchukuzi hutatizwa sana. Emmanuel Cheboit anaangazia changamoto hizo ambazo ni za kipekee katika kaunti hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Emmanuel Cheboit
More by this author