John Kihaga Wa Naivasha Ajipata Pabaya

Mbunge wa Naivasha John Kihaga leo alifumaniwa na waandamanaji kutoka eneo bunge lake wakidai kuwa amewaibia mashamba yao. Kando na kurushiana maneno, katika vuta nikuvute hiyo mbunge huyo nusura arushiane makonde na baadhi ya waandamanaji hao. Kulingana nao, mbunge Kihaga alichukuwa stakabathi za mgao wa shamba zao kwa ahadi kuwa atawaletea hati za umilik, lakini tangu wakati huo hawajamuona tena.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories