logo

John Mruttu ashindwa kupata tiketi ya ODM kutetea kiti chake

By For Citizen Digital

Mtikisiko wa kisiasa unaendelea kushuhudiwa ndani ya chama cha ODM katika zoezi la mchujo linaloendelea kufanyika katika kaunti mbalimbali nchini. Leo gavana wa Taita Taveta, John Mrutu ameshindwa kupata tiketi ya ODM kutetea kiti chake. Je anakuwa gavana wa kwanza kuachia ngazi?

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelBy Citizen Reporter More by this authorMost RecentSponsored Content