Joho asimama kidete

Gavana wa mombasa Ali Hassan Joho sasa anasema kuwa anavijunia kupata alama ya D- na kuweza kufaulu maishani licha ya matokeo hayo kwenye mtihani wa KCSE aliofanya mwaka 1993. Joho amekanusha kuhusika na stakabadhi ghushi inayodaiwa kuwasilishwa katika chuo kikuu cha Nairobi na kuonyesha kuwa alikuwa amepata alama ya c+ mwaka 1992. Gavana huyo wa Mombasa anadokeza kuwa alijiunga na chuo kikuu kihalali.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories