Joho mashakani

Vyeti vyake vyazidi kuzua utata, imebainika alifanya KCSE 1993 na kupata D- ,KNEC inatilia shaka cheti chake cha 1992 ,suala hilo laweza kubatilisha shahada zake za vyuo vikuu ,kanuni yasema ili kuingia chuo kikuu sharti uwe na C+

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories