Joto la siasa

Seneta wa meru na mgombea wa ugavana katika kaunti hiyo kiraitu murungi amewaongoza viongozi wengine eneo hilo katika kuwarai wakazi kutowatenga wagombeaji huru wa viti mbalimbali ili kuboresha nafasi ya rais uhuru Kenyatta kuchaguliwa kwa muhula wa pili. Haya yanajiri huku chama cha jubilee kikitoa adhabu kwa wanachama wake watatu ambao wametozwa faini ya shilingi laki mbili kila mmoja huku mmoja wao akisimamishwa chamani kwa zaidi ya miaka miwili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories