Jubilee imewekeza katika miradi ya manifesto yake

Bajeti ya mwaka 2017/2018 ni ya kipekee, na Jubilee imewekeza sana katika miradi iliyoorodheshwa kwenye manifesto ya Jubilee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2013. Waziri wa hazina ya kitaifa Henry Rotich akitenga mabilioni ya pesa kwenye miradi ya miundo mbinu, elimu, usalama wa kitaifa, afya na huduma za jamii.

Tags:

National Treasury JUBILEE Henry Rotich Budget 2017/2018

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories