Jubilee, NASA wafanya maombi tofauti

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto hii leo wamehudhuria maombi ya kitaifa na kuapa kudumisha amani katika kampeni zao.
Vigogo wa NASA kwa upande huo walifanya maombi yao katika afisi za Okoa Kenya na kutoa ahadi hiyo hiyo.

Tags:

Uhuru kenyatta raila odinga JUBILEE NASA Maombi ya kitaifa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories