Jubilee, NASA wamtaka Tobiko achunguze uchaguzi wa Agosti 8


Tume ya uchaguzi, IEBC, sasa imeandaa warsha za kuwafunza watakaosimamia uchaguzi mpya wa urais ili kuhakikisha kwamba makosa yaliyotendeka katika uchaguzi wa mwezi Agosti hayarejelewi tena. Haya yanajiri huku mrengo wa NASA ukiandikia afisi ya mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma ukitaka uchunguzi wa kina ufanyike kwa wafanyikazi wa IEBC waliovunja sheria.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Majanga Michael
More by this author