Jubilee: Tutapunguza mamlaka ya mahakama ya juu


Chama cha Jubilee kimesisitiza kuwa muungano wa NASA hauna budi ila kushiriki uchaguzi mpya wa urais kama ilivyopangwa na tume ya IEBC. Kupitia katibu wake mkuu Raphael Tuju chama hicho kimesuta viongozi wa NASA kwa kudokeza kuwa ni watu wasioridhika kwa chochote kile.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channel



Video Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Francis Gachuri
More by this author