Jubilee wajitanua Nairobi
Published on: June 20, 2017 11:57 (EAT)
Naibu Rais William Ruto ameongoza kampeni za Jubilee hapa jijini Nairobi ambapo wanajubilee waliwataka wenyeji kuwapa nafasi ya kuongoza ili waone mabadiliko nairobi. Ruto aliwataja wana nasa kama ambao wanaendeleza siasa za kikabila na mgawanyiko.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment