Jubilee wakashifu NASA kwa vitisho vya kususia uchaguzi


Chama cha Jubilee imekashifu muungano wa upinzani Nasa kutokana na matamshi kwamba hawatoshiriki kwenye uchaguzi iwapo mabadiliko hayatafanyika katika tume huru ya uchaguzi na mipaka. Katibu mkuu wa chama cha Jubilee Raphael Tuju amewataka Nasa kuandikia rasmi IEBC kuwafahamisha kuwa hawatashiriki kwenye marudio ya uchaguzi ili kuondolea taifa mzigo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Gatete Njoroge
More by this author