Jubilee wapanga kubuni kamati hata NASA wakikataa


Bunge la kitaifa limepitisha orodha ya majina ya wabunge walioteuliwa kujiunga na kamati mbili za umuhimu ili kuwezesha bunge hilo kuendelea na shughuli zake kama kawaida. Pande zote mbili zimeteua wabunge watakaojiunga na kamati ya uteuzi pamoja na kamati ya shughuli za bunge. Hata hivyo Nasa wamesusia kuwateua wabunge kuwa katika kamati ya kuwachunguza mawaziri.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Gatete Njoroge
More by this author