Jubilee wasusia mwaliko wa IEBC kuhusu kandarasi ya kura

Mirengo mikuu ya kisiasa nchini, ule wa Jubilee na NASA, hapo jana  ilitoa kauli tofauti kuhusiana na suala zima la kandarasi ya uchapishaji wa karatasi za upigaji kura za urais. Mrengo wa Jubilee ulisema kwamba jukumu la kuamua ni nani wa kupewa kandarasi hiyo liachiwe tume ya IEBC huku NASA ikisisitiza kwamba uamuzi wa mahakama usalie kuwa hivo.

Tags:

JUBILEE Al Ghurair Ballot printing tender

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories