Jubilee yaendelea kuwika Bonde la Ufa
Published on: June 15, 2017 08:58 (EAT)
Viongozi wa Jubilee sasa wanasema kuwa NASA inataka kusambaratisha uchaguzi ili usifanyike tarehe nane na uhairishwe hadi disemba. Rais uhuru Kenyatta, naibu rais William Ruto na viongozi walioandamana nao katika kampeni za kupigia debe Jubilee katika kaunti ya Kericho wamesema kuwa malalamishi ambayo NASA wanatoa sasa kuhusiana na maafisa wa IEBC na shughuli nzima ya uchapishaji wa karatasi za kupigia kura ni njama tu kwasababu hawako tayari kwa uchaguzi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment