Jubilee yaendelea na kampeni zake, Turkana

Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto wanasema kuwa wapinzani wao hawako tayari kwa uchaguzi na kuwataka kuacha kuiwekea tume ya uchaguzi vikwazo. Viongozi hao wa Jubilee  wamesifia maendeleo waliyofanya katika kaunti ya Turkana na kuwataka wananchi kuangalia hayo watakapopiga kura tarehe nane mwezi ujao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories