Jubilee yafanya kampeni Garissa, Isiolo
Published on: July 23, 2017 07:52 (EAT)
Rais Uhuru Kenyatta amekashifu upinzani NASA akidai kuwa wamekuwa wakieneza propaganda na kukashifu maendeleo ya serikali. Rais amesema kuwa viongozi wa NASA hawana rekodi au sera ya maendeleo ambayo wametekeleza licha ya kuhudumu katika serikali za hapo awali. Rais Kenyatta aliyasema haya alikuwa kwenye kampeni za Jubilee katika kaunti za garisaa na Isiolo
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment