Jubilee yaimarisha uwepo wake kaunti ya Mandera

Naibu Rais William Ruto amekaribisha wagombezi huru na vyama vyote vya kisiasa vinavyounga mkono azma ya Rais Uhuru Kenyatta kusaka mhula wa pili uongozini.

 

Akizungumza katika kaunti ya mandera ruto alisuta muungano wa upinzani nasa kwa kutishia kujiondoa katika kinyanganyiro akisema kuwa vitisho kwa iebc ni ishara kuwa upinzani unanusa kushindwa na Jubilee

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories