Jubilee yatia nanga Muranga, Nyeri


Mdahalo wa urais uliofanyika jana na ambao ulisusiwa na baadhi ya wagombea akiwemo Rais Kenyatta umechukua mkondo wa kisiasa ambapo leo rais ameelezea ni kwanini hakuhudhuria. Rais Kenyatta amekosoa vyombo vya habari akisema vilijaribu kumburuza kwa nguvu kwenye mdahalo huo ambao kwa mtazamo wake haukua muhimu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Hassan Mugambi
More by this author