Jumba la makazi latishia kuporomoka mtaani Kasarani

Wapangaji katika jumba moja mtaani Kasarani asubuhi ya leo wamelazimika kuhama baada ya hitilafu za kiujenzi kuonekena. Wapangaji hao wasiopungua ishirini walichukua hatua hio baada ya nguzo moja kubomoka na nyufa kudhihirika katika kuta za jumba hilo.

Tags:

Kasarani Digital House

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories