Justin Muturi kutetea kiti cha spika wa bunge la taifa


Makarani wa bunge la kitaifa na seneti hii leo wamechapisha rasmi majina ya wale walioomba kazi ya kuwa spika bungeni akiwemo spika wa bunge la 11 Justin Muturi. Hayo yanajiri huku wabunge wapya waliochaguliwa wakifanyiwa mafunzo ya bunge kabla ya kuapishwa siku ya Alhamisi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Stephen Letoo
More by this author