Kabogo atangaza kuwani wadhifa wake tena

Gavana wa Kiambu, William Kabogo, atakitetea kiti chake katikatika uchaguzi mkuu ujao kama mgombea huru. Kabogo alishindwa katika chaguzi za mchujo wa chama cha Jubilee na mpinzani wake ambaye pia ni mbunge wa Kabete, Ferdinand Waititu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories